Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Aprili 16, 2024 Local time: 23:29

Sheria mpya ya Madini kupitishwa Kenya.


Watalii wafurahia pwani ya Mombasa, Kenya.
Watalii wafurahia pwani ya Mombasa, Kenya.

Madini ni mojawapo ya rasilimali inayobadili uchumi wa nchi kutokana na thamani yake, lakini mataifa mengi yangali yamekumbwa na matatizo mengi licha ya kujaliwa kuwa na utajiri wa madini.

please wait

No media source currently available

0:00 0:03:00 0:00
Kiungo cha moja kwa moja

Mfano ni nchi ya Kenya ambayo imegundua madini tofauti kama vile Mafuta,Tiomin,Kawi ya Mkaa,lakini bado inaorodheshwa miongoni mwa mataifa yanayoendelea.

Sheria ambazo zimekuwa zikitumika ni za enzi za kikoloni mwaka wa 1945 ambazo zimedaiwa kukandamiza Taifa. Kwa mujibu wa Waziri wa madini nchini Kenya, Dan Kazungu, sheria mpya ya madini inayotarajiwa kupitishwa Februari mwaka huu, itatoa fursa kwa taifa zima sawia wa wawekezaji kufaidika.

XS
SM
MD
LG