No media source currently available
Ungana na Mary Mgawe wiki hii katika Washington Bureau akikuletea mashindano ya mbio za Boston yaliyofanyika mjini Boston, Massachussets. Mashindano haya ni moja ya mashindano 6 makubwa kabisa ya ukimbiaji duniani.