No media source currently available
Ikiwa imebaki wiki tatu kabla ya uchaguzi mkuu wa Marekani wagombea kiti cha rais wakabiliana katika mdahalo wa tatu na wa mwisho mkali.