Upatikanaji viungo

Hali ngumu ya kiuchumi nchini Kenya yachochea ubunifu zaidi miongoni mwa wanamuziki nchini Kenya.

Kutokana na hali ngumu ya kiuchumi inayoendelea nchini Kenya, wanamuziki wameamua kuchukua jukumu la kutunga nyimbo za kuwavutia watalii. Mmoja wa wanamziki hao ni afisaa wa polisi wa cheo cha Inspector Salim Mohamed ambae kiusanii anajulikana kama Kim Nigga.

Mwandishi wa VOA kutoka Mombasa Josephat Kioko amezungumza naye. Bonyeza usikilize.

XS
SM
MD
LG