Baada ya kumaliza ziara yake Bujumbura , Burundi katibu mkuu wa umoja wa mataifa Ban Ki Moon anatarajiwa kuwasili Drc ambapo wananchi wanamsubiri kwa hamu kubwa.
Wengi wana matarajio kwamba katibu mkuu wa Umoja wa mataifa atamaliza ghasia na uasi ulioharibu taifa hilo.