Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Aprili 16, 2024 Local time: 21:50

DRC yasitisha utekelezaji wa mabadiliko ya sheria ya madini

Rais Joseph Kabila wa DRC
Rais Joseph Kabila wa DRC

Kushuka kwa bei ya madini kwenye masoko ya kimataifa kumesababisha serikali ya Kongo kusitisha kwa muda utekelezaji wa mabadiliko ya sheria yake ya madini.

Na Swaleh Mwanamilongo

Kinshasa, DRC

Kushuka kwa bei ya madini kwenye masoko ya kimataifa kumesababisha serikali ya Kongo kusitisha kwa muda utekelezaji wa mabadiliko ya sheria yake ya madini.

Tangazo hilo lililotolewa na waziri wa Kongo wa madini limepingwa vikali na mashirika 42 ya kiraia ambayo yamesema kutobuniwa kwa sheria hiyo mpya ni sawa na kuyapa nafasi makampuni ya madini kuendelea kupora rasilimali za kitaifa, huku wananchi wakisalia masikini. Sikiliza taarifa kamili na mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo:

please wait

No media source currently available

0:00 0:02:30 0:00
Kiungo cha moja kwa moja

XS
SM
MD
LG