No media source currently available
Madaktari wa Kenya waanza mgomo kwa muda usojulikana kulalamika kudai nyongeza za mishahara na mazingira bora ya kazi, kama ilivyokubaliwa na serikali mwaka 2013.