Upatikanaji viungo

Nigeria


Milipuko miwili ya mabomu imeharibu jengo moja la serikali huko Nigeria dakika chache baada ya kundi moja la wanamgambo lilipotoa onyo la kupanga shambulizi la mabomu katika eneo.

XS
SM
MD
LG