Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Machi 29, 2024 Local time: 09:31

Umoja Mataifa yajadili hali ya uchumi


Mataifa 140 wanachama wa Umoja Mataifa wakutana New York kujadili hali ya mzozo wa fedha ulimwenguni. Wajumbe watajadili umuhimu wa kupunguza athari za mzozo huo.

XS
SM
MD
LG