No media source currently available
Rais Donald Trump wiki hii amekuwa ziarani katika nchi mbali mbali kuanzia Saudi Arabia mpaka Israel na Italia. Hii ni ziara ya kwanza ya Rais Trump akiwa kama Rais wa Marekani. Mary Mgawe anakuelezea zaidi.