Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Aprili 23, 2024 Local time: 12:44

Athari za tetemeko la ardhi huko Bukoba Tanzania

Mtetemeko wa ardhi wa wastani ulopimwa kua 5.7 kipimo cha richter umetokea huko Afrika Mashariki ikiroipotiwa kwamba kitovu chake ni Nsunga kagera Tanzania ambako watu 10 wameuwawa na zaidi ya 100 kujeruhiwa.

Pandisha zaidi

Makundi

XS
SM
MD
LG