Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Machi 29, 2024 Local time: 15:54

Wakenya wasongamana kulipa ushuru

Mamlaka ya ushuru nchini Kenya, KRA, ilitangaza siku ya Alhamisi kwamba haikudhamiria kuongeza muda uliowekwa kwa Wakenya kulipa ushuru kupitia mfumo mpya wa komyuta ili kurahisisha ulipaji  kodi na ushuru, maarufu kama i-tax. Wakenya wengi walionekana wakipanga foleni ndefu katika afisi za mamlaka hiyo kwenye miji tofauti tofauti nchini humo.

Mamlaka ya ushuru nchini Kenya, KRA, ilitangaza siku ya Alhamisi kwamba haikudhamiria kuongeza muda uliowekwa kwa Wakenya kulipa ushuru kupitia mfumo mpya wa komyuta ili kurahisisha ulipaji kodi na ushuru, maarufu kama i-tax. Wakenya wengi walionekana wakipanga foleni ndefu katika afisi za mamlaka hiyo kwenye miji tofauti tofauti nchini humo. BMJ Muriithi alizungumza na mtaalam wa maswala ya ushuru nchini Kenya, Jonnah Andrea, na akamuuliza kuelezea tofauti kati ya mfumo wa ushuru wa zamani, na huo mpya wa i-tax. Sikiliza mahojiano hayo hapa:

please wait

No media source currently available

0:00 0:05:29 0:00
Kiungo cha moja kwa moja

XS
SM
MD
LG