Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Machi 29, 2024 Local time: 18:46

Utekaji nyara na watu kupotea ni tatizo la haki za binadamu Burundi


Visa vya watu kutekwa na nyara na baadaye kutoweka ni moja kati ya visa vya ukiukwaji wa haki za binadamu vyenye kulalamikiwa nchini Burundi.

Mashirika ya kutetea haki za binadamu yamekuwa yakilani vitendo hovyo katika nchi inayopitia mgogoro wa kisiasa.

Shirika moja la kimataifa limeodai kuwa watu takriban 800 wameshatekwa nchini Burundi.

Hali hiyo inadaiwa kusababishwa na mzozo wa kisiasa unaoikabili Burundi tangu Aprili mwaka jana ambao umesababisha watu zaidi ya laki moja na nusu kukimbia nchi na mamia ya wengine kufariki dunia.

Shirika hilo la kutetea haki za binadamu linaomba vyombo vya sheria na polisi nchini humo kuwajibika ili visa hivyo vikomeshwe mara moja.

please wait

No media source currently available

0:00 0:02:58 0:00
Kiungo cha moja kwa moja


Sikiliza ripoti ya mwandishi wetu wa Bujumbura Haidallah Hakizimana hapo chini.

XS
SM
MD
LG