No media source currently available
Polisi Uganda wamkamata mpinzani mkuu wa kisiasa Kizza Besigye, pale mivutano ya baada ya uchaguzi bado inaendelea; Na raia Djibouti wajiandaa kwa uchaguzi Aprili 8, pale rais Ismail Guellah akijaribu kuwania muhula wa 4 madarakani.