No media source currently available
Papa Francis amaliza ziara yake nchini C.A.R, kwa kutowa wito wa kuwepo amani na maridhiano baina ya waislamu na wakristo.