No media source currently available
Mashirika ya fedha ya kimataifa na serikali ya Tanzania zinaeleza kwamba uchumi wa nchi hiyo umeendelea kukuwa kwa asili mia 7. Lakini jee wananchi wanafaidika kutokana na ukuwaji huo? Hilo ni suala lililoulizwa baadhi ya raia wa Dar es Salaam.