Moto mkubwa uliripotiwa Jumatano asubuhi kufuatia mlipuko karibu na kiwanda cha silaha karibu na mji mkuu wa Sudan Khartoum.
Ripoti za waandishi ziliwakariri mashahidi wakisema walisikia milipuko usiku sana kabla ya moto kulipuka.
Taarifa za awali zilisema eneo la tukio lilikuwa kiwanda cha silaha cha Yarmouk.
Sababu za mlipuko bado hazijulikani na hakuna taarifa za majeruhi.